Thibitisho: Kuna Uhusiano Mkubwa Kati Ya Tembe Za Kupanga Uzazi Na Msongo Wa Mawazo
Sababu moja ya mtindo huu ni madhara ya tembe hizo kama vile mbadiliko wa hisia, kuvimba na kunenepa.
Matokeo ya utafiti uliofanywa na Chuo kikuu Cha Copenhagen uliowahusisha zaidi ya wanawake milioni moja katika muda wa miaka 13 ulidhibitisha kuwa kuna uhusiano mkuu kati ya homoni za upangaji uzazi na msongo wa mawazo.
Picha: © American Life League, CC BY-NC, #newsUrhrzwkoyt